Zakamwamoba
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 177
- 609
Guys kwema?, Aisee nimejiokoteza okoteza kwa miaka kadhaa mwaka huu naona mambo yamekaa sawa kimtindo, Sasa Nataka kausafiri ka kuendea kwenye mishemishe. Nahitaji Ushauri kati ya IST na SPACIO ipi ni mzuri tukiangalia ulaji, wa mafuta, uimara na Muonekano .
Naomba kuwasilisha.
ShukraniMie naona IST ina muonekano bora na imara zaidi.
Spacio is ugly AF
Guys kwema?, Aisee nimejiokoteza okoteza kwa miaka kadhaa mwaka huu naona mambo yamekaa sawa kimtindo, Sasa Nataka kausafiri ka kuendea kwenye mishemishe. Nahitaji Ushauri kati ya IST na SPACIO ipi ni mzuri tukiangalia ulaji, wa mafuta, uimara na Muonekano .
Naomba kuwasilisha.
Acha Uzembe yan kijana Mzima unaenda kununua IST?? Halafu unaenda Ukweni unapak IST?Guys kwema?, Aisee nimejiokoteza okoteza kwa miaka kadhaa mwaka huu naona mambo yamekaa sawa kimtindo, Sasa Nataka kausafiri ka kuendea kwenye mishemishe. Nahitaji Ushauri kati ya IST na SPACIO ipi ni mzuri tukiangalia ulaji, wa mafuta, uimara na Muonekano .
Naomba kuwasilisha.
IST japo sio gari
Anyway...hii kwa sasa imebaki Tanzania...Spacio ina sura mbaya!
Go for IST... The stylist ride in town!
-Kaveli-
Guys kwema?, Aisee nimejiokoteza okoteza kwa miaka kadhaa mwaka huu naona mambo yamekaa sawa kimtindo, Sasa Nataka kausafiri ka kuendea kwenye mishemishe. Nahitaji Ushauri kati ya IST na SPACIO ipi ni mzuri tukiangalia ulaji, wa mafuta, uimara na Muonekano .
Naomba kuwasilisha.
Ushauri mzuri, RAV4 cc 1790 ni chaguo zuri sana. Nadhani hata running costs sio kubwa kivile.Acha Uzembe yan kijana Mzima unaenda kununua IST?? Halafu unaenda Ukweni unapak IST?
FOOLISH kabisa..
My take: tafuta gar ambayo ipo juu unayoweza kutembea rough road na kwenye lami na bado ikawa na ulaji mzuri wa Mafuta.
Mfano. RAV 4 Kill time kama hii.
1790 cc ipo vizur na ina show Nzuri sana itakusaidia Mishe mishe zako Mjini ukiwa Comfortable..View attachment 1178697View attachment 1178698
Hivi Ina range bei ngapi mkuuBro napenda nikushauri chukua VOTZ hautojutia pesa yako
Bro napenda nikushauri chukua VOTZ hautojutia pesa yako
15-16mHivi Ina range bei ngapi mkuu