Toyota IST vs Toyota Aqua katika biashara ya Taxi

Kwa uzoefu wangu,hayo magari yenye miaka 20+ hata fuel consumption litakayokupa haiendani na unachokusoma online,hizo takwimu ni za magari mapya!!

NB:Ni raha sana kuendesha gari ambalo ni chaguo lako mwenyewe.
Unaijua Aqua Mzee? Hiyo ya miaka 20+ labda uzungumzie IST old model.
 
Kuna Barabara gani Dar ambayo Toyota Aqua inashindwa kupita?
Ground clearance ya aqua ipo chini kulinganisha na IST. Kwa barabara zenye mashimo na miinuko ya hapa na pale itakuwa inagonga sana chini.

Barabara zipo nyingi sana ambazo ni mbovu kwa Dar es salaam.
 
Ground clearance ya aqua ipo chini kulinganisha na IST. Kwa barabara zenye mashimo na miinuko ya hapa na pale itakuwa inagonga sana chini.

Barabara zipo nyingi sana ambazo ni mbovu kwa Dar es salaam.
Madereva wa Uber route zao ni maeneo ambayo yapo vizuri kidogo kimiundombinu, mara chache sana dereva wa Uber akaenda Mvuti au Bonyokwa mabondeni. Chukua Aqua ni fuel efficient haina haja ya kufunga gesi na maintenance yake ni cheap pia
 
Shukran mkuu.
 
Msimpe gari huyo dogo....hiyo hela...mnunulieni shamba...ajenge kijumba kidogo...alime bustani,,afuge...gari aje kununua kwa pesa yake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…