Toyota IST vs Toyota Cresta gx 100

Toyota IST vs Toyota Cresta gx 100

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
Ipi ni nzuri kati ya hisi gari mbili kwa kununua. Msaada na ushauri tafadhal
 
Kivipi mkuu?,weka wazi............bei?,ulaji wa mafuta?,uimala?
 
mkuu katika vipengele vyote vitatu hivyo, bei yake, uimara wake, ulaji mafuta na ubora. na ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi ya kibongo na kwa luxury. asante
 
ist gari nzuri na ulaji wake wa mafuta mzuri sana...gx 100 gari nzuri ila ulaji wake wa mafuta uko juu kuliko ist
 
mkuu katika vipengele vyote vitatu hivyo, bei yake, uimara wake, ulaji mafuta na ubora. na ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi ya kibongo na kwa luxury. asante
Kwa sokoni ni kama zinalingana sema IST ipo juu kidogo kulingana na demand yake,kwa uimala wa IST sina uhakika ila GX 100 ni imala sema inategemea upo mazingira gani,kama road ya vumbi mashimo ni mengi utaumia sana,kwa matumizi ya kibongo IST ni mpango mzima,inakula mafuta kiasi lakini hata spear huangaiki sana..............kuhusu luxury nakushauri mawazo kama hayo yakitoto acha,U.S and NIGERIA wenzetu wanatembelea magari ya kifahari yanayokula mafuta kama marcedez benz coz bei ya fuel ipo chini(~2us dollar/Gallon)..............
 
asante sana mkuu, umenifafanulia vzuri na nimeelewa
 
Ipi ni nzuri kati ya hisi gari mbili kwa kununua. Msaada na ushauri tafadhal

mkuu gx100[naamini unamaanisha mark2/chaser] ukitaka kulinganisha hii linganisha na mark2/chaser gx110 au verossa au mark x au brevis au altezza......na ist linganisha na starlet,vitz,nissan march, toyota passo

ist na gx100 ni gari zilizo kwenye class mbili tofauti kwa matumizi na watumiaji tofauti.
 
gx mia vvti ni balaa ,ingawa mafuta inayabugia zaid ya ist ,ist ni lain na zinaharibika mapema sana mie ninazo zote bt ist nauza inasumbua sana bt gx mia duu mpango mzima inadumu,inaspid na inanata barabarani
 
Back
Top Bottom