Kwa sokoni ni kama zinalingana sema IST ipo juu kidogo kulingana na demand yake,kwa uimala wa IST sina uhakika ila GX 100 ni imala sema inategemea upo mazingira gani,kama road ya vumbi mashimo ni mengi utaumia sana,kwa matumizi ya kibongo IST ni mpango mzima,inakula mafuta kiasi lakini hata spear huangaiki sana..............kuhusu luxury nakushauri mawazo kama hayo yakitoto acha,U.S and NIGERIA wenzetu wanatembelea magari ya kifahari yanayokula mafuta kama marcedez benz coz bei ya fuel ipo chini(~2us dollar/Gallon)..............mkuu katika vipengele vyote vitatu hivyo, bei yake, uimara wake, ulaji mafuta na ubora. na ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi ya kibongo na kwa luxury. asante
Kwa sokoni ni kama zinalingana sema IST ipo juu kidogo kulingana na demand yake,kwa uimala wa IST sina uhakika ila GX 100 ni imala sema inategemea upo mazingira gani,kama road ya vumbi mashimo ni mengi utaumia sana,kwa matumizi ya kibongo IST ni mpango mzima,inakula mafuta kiasi lakini hata spear huangaiki sana..............kuhusu luxury nakushauri mawazo kama hayo yakitoto acha,U.S and NIGERIA wenzetu wanatembelea magari ya kifahari yanayokula mafuta kama marcedez benz coz bei ya fuel ipo chini(~2us dollar/Gallon)..............
Ipi ni nzuri kati ya hisi gari mbili kwa kununua. Msaada na ushauri tafadhal