Huyo siyo fundi rangi....ni ameipaka mafuta ya kupikiaDah! Kuna mafundi rangi wengine ni bure kabisa.
Daaah sorry masega yamo?
alafu mtu akamlipa kabisa kweli kuna watu kwa kulea ujinga japana kwa kweliDah! Kuna mafundi rangi wengine ni bure kabisa.
Huyo siyo fundi rangi....ni ameipaka mafuta ya kupikia
Gari inang'aa kama Bati la Nyumba?.. Hatujapigwa hapa kweli
Ukifika 6.5M nichek
iii gari ukitrec milage zake ilizotokanazo japan, ndio utaamini ninachosema kuwa km zimeshushwaWapi Unaweza Ukakutana Na TOYOTA IST kama Hii Toleo La Mwaka 2005 Yenye Engine Capacity Ya 1290Cc Huku Kwa Upande Wa Mileage Zikiwa 89,000+…Ni Bahati Kabisa Hii
Isitoshe Inauzwa Bei Ya Maombolezo TSH 9,500,000/= Na Ukija Front Kwenye Gari Unakutana Na Kapunguzo Flani Hivi Kabei Amazing
Niko Na Nayo Around Mitaa Ya Sinza[emoji625]Ivyo Kama Umeilewa Usisite Kunicheki Kupitia Namba 0747 999 927View attachment 2740651
View attachment 2740653
View attachment 2740654
View attachment 2740655
View attachment 2740656
View attachment 2740657
View attachment 2740658
View attachment 2740659