Hii ndo yenyewe kwetu Makete kule unafukua tope tu kama unapanda mlima Kilimanjaro. Sasa imetembea Km ngapi Kitomai?
Homeboy menikumbasha mbali sana......! nikiwa pre form one miaka hiyo, tulikuwa tunaenda na hii kitu kule Lupila/Sunji (kama upo), huko milima mzee acha kabisa.....kitu ilikuwa inatembea acha kabisa!!
2003 year of manufacture. IHZ Diesel 4164cc . in good condition. Price 31mil. negotiable. contact 0717114409