Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1997 model, milango mitano, automatic. 1kz diezel engine, 2980cc, 60333km, bei usd 25500
Hii ni superprofit Kitomai
hupo sahihi kwa mtazamo wako
Hapana mimi namuunga mkono kuwa yupo sahihi, the car is over expensive. Fungua hapa chini angalia hizo prado bei yake huko japan na unapewa kitu kizuri hakina tatizo kimeshakaguliwa na JAAI,
http://www.autorec.co.jp/used-cars-list.php?post_category=3&Login=africa3
User : africa3
Psw: 860971
Fungua hiyo web check bei yako sawa na kununua Prado mbili.
Cost ya kulikomboa hapa Dar max. ni 50% ya uliyonunulia na kulifikisha Dar.
Mfano kuna hiyo Prado ya 1997 diesel, inauzwa 10.800 USD, sana sana max utalipa USD 5000 kukomboa Dar, which will cost you 15,000USD Only. Sasa nikikomboa nakuuza 18,000 USD sijapata faida?? kwanini niuze 25,000 USD????!!! wizi mtupu Dar