Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Aise nimetoka huko youtube, huyu mnyama mpya japo nimekuwa dissapointed kushusha engine size ya v6 ya 3.5 lakini ina mambo mazuri mengi ukiachana na bodi la kiduwanzi ambalo naamini tumepigwa kwa huo muonekano wa box...
Ile facelift ni kiboko aisee gari haichoshi machoni mzee πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hasa ikiwa nyeusi na iwe na kile kisaiti mirror cha usawa wa taa kwenye kona ya fender la upande kushoto inanoga sana japo sielewi kina kazi gani ila kinanogesha sana muonekano wa Land Cruiser 200
 
Mnavyosema umeme mwingi mnamaanisha nini?
Ni gari ambazo ni hybrid yaani injini yake ni conventional yaani ina motor ya umeme inayosukumwa na hybrid battery ili kusaidia iwe na ulaji mdogo wa mafuta as they tend to use the engine for accelerating, climbing hills au pale nguvu ya ziada inapohitajika, huyo jamaa anayeiongelea hio volvo x90 kwa vyovyote ina mfumo huo haiwezi kuzalisha hp kubwa hivyo kwa cc 2000 kwa ukubwa wa hilo body.

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Wale washenz gari wanafanyaga pre-order kiwandani yani kabla ya official release wao washapelekewa hawanaga muda wa kusubiri
Kabisa mkuu. Ndio maana hizi 300 series nyingi zilizoonekana ni left hand na karibia 90% zina elekea uarabuni.

Sisi zetu pengine ndio zinatengenzwa na zitakuja kuanzia mwakani
 
Kabisa mkuu. Ndio maana hizi 300 series nyingi zilizoonekana ni left hand na karibia 90% zina elekea uarabuni.

Sisi zetu pengine ndio zinatengenzwa na zitakuja kuanzia mwakani
Eeh man zetu bado bado
 
Production ya Prado za LC300 inategemewa kuanza 2023 na yenyewe itakuwa ya moto sana kuzidi kaka yake LC 150


Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 



Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Nasikia hata bei itakuwa juu kwa Usd 30,000-40,000/- kutokana na technology aliyoweka Toyota kwenye toleo la LC300

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…