TOYOTA LAND CRUISER AMAZON INAUZWA

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,146
Reaction score
371
πŸš™

Maelezo ya Gari:
β€’ Model: Land Cruiser Amazon β€’ Mwaka: 2000 β€’ Injini: 1HD - Imara sana β€’ Mafuta: Diesel ⛽️ β€’ CC: 4163cc - Nguvu ya kweli ya porini na barabarani β€’ Rimu: Sport Rims Kali β€’ Hali: Gari ipo vizuri sana, imetunzwa, haina shida yoyote - Washa na uondoke!
BEI: TZS 37,000,000/= tu (Inaongeleka kidogo)

πŸ“ Gari ipo Dar es Salaam - Inaonekana kwa appointment

πŸ“ž Wasiliana Nasi Sasa: 0784225000 - Kayinga Properties
#ToyotaLandCruiser #Amazon #GariZinauzwa #MagariDar #DieselPower #LandCruiserTanzania #MagariYaKutumainiwa
 

Attachments

  • 835531785_4711833195729714_3088699964567833379_n-1.jpg
    396.3 KB · Views: 10
  • 834335550_2236612770404535_679242685437071777_n.jpg
    294.3 KB · Views: 11
  • 834039966_1866130498083772_1081286672692306385_n.jpg
    328.1 KB · Views: 12
Nini sababu ya kuficha/kufuta namba za usajili?
 
Nini sababu ya kuficha/kufuta namba za usajili?
Dalali anazuia usiende kwa tajiri direct akakosa 10%. Jambo ambalo si baya , lkn gari ni body kwa nje tu au tajiri hakuruhusu zaidi ya hizo picha na details zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…