Toyota Landcruise 300 Series

Will produce 220kW=295 HP

Sijui ni kwanini Toyota mpk leo hawapendagi ma HP makubwa makubwa,maana kama ni ile 'gentleman agreement' ya mwaka 1989 ya max HP ni 276 ilishakufaga kidizaini.

dodge
 
Will produce 220kW=295 HP

Sijui ni kwanini Toyota mpk leo hawapendagi ma HP makubwa makubwa,maana kama ni ile 'gentleman agreement' ya mwaka 1989 ya max HP ni 276 ilishakufaga kidizaini.

dodge
295hp inakimbia hivyo.

Ikiwekwa 500hp utaitumia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
295 wala haitishi ni kawaida saaaaana hio boss.

Hapa hapa bongo zinatumika,mbona kuna gari za kawaida kibao tu kama wrx sti,fuga,ls 460,toureg,
Civic type-R,350Z zina HP kubwa kuliko hio LC na ziko road hapa hapa bongo.

Kuna mpk GT-R Dar-Dom weekends naionaga sana tu huko roads.
295hp inakimbia hivyo.

Ikiwekwa 500hp utaitumia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Will produce 220kW=295 HP

Sijui ni kwanini Toyota mpk leo hawapendagi ma HP makubwa makubwa,maana kama ni ile 'gentleman agreement' ya mwaka 1989 ya max HP ni 276 ilishakufaga kidizaini.

dodge

Bigger HP = bigger engine = high fuel consumption
Inabidi ujue soko lako ni lipi na their clever to satisfy it


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo Kwenye twin turbo alafu Ngoma petrol sijui ulaji wake wa mafuta itakuaje
 
Bigger HP = bigger engine = high fuel consumption
Inabidi ujue soko lako ni lipi na their clever to satisfy it


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo ilikuwa zamani, siku hizi engine zipo refined (hasa za diesel) na very efficient, unless uwe unafanya racing, ila ukielewa kutumia engine torque vizuri kwa mizunguko ya kawaida utapata fuel returns za kufurahisha hata Kama engine kubwa

Mwaka fulani nilipata Ka deiwaka kumwendesha mstaafu fulani Kutoka dar kwenda mbeya, Gari ilikuwa Toyota Prado 1kz, kwa wanaoijua vizuri 1kz ni notorious kwa bad fuel consumption, ila Ina nguvu.
Nikatumia principle ya torque, mwendo haukuwa makali na tulifika mbeya kabla ya giza, nikiwa nimeitumia Lita 75 tu, mzee anasema tokea anunue hiyo Gari, Lita 70 zilikuwa zinaishia iringa, mbeya siku zote alikuwa anaweka Lita 140.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bigger HP = bigger engine = high fuel consumption
Inabidi ujue soko lako ni lipi na their clever to satisfy it


Sent from my iPhone using JamiiForums

'Bigger HP = bigger engine = high fuel consumption'

Unaongelea tech. za miaka ipi?

Nikikwambia 2005 mazda rx-8 ina-produce HP 238 wkt ina cc 1300 only na ulaji wake ni 6.5km/l utaamini?

dodge
 
Kitu ambacho sielewi kwenye power ratings za haya magari madogo ni torque!, Gari Ina 295Hp. halafu torque 350Nm tu,
Kwa horse power hizo engine kubwa ingekuwa na 1000 plus NM za torque

Sent using Jamii Forums mobile app

Lazima ujue hp inapatikanaje i hope unafahamu hilo ...iko hivi magari ya diesel yako na torque kubwa kuliko wenzake wa petrol of the same size!!! Ukiwa mzoefu ukishaona tu hp na torque tayar unajua hili gari linatumia mafuta gani bila kuhitaj hata data zngine eg number of cyl or even cc's hiyo gari yenye hp hizo 295 na torque 354 ni ya petrol moja kwa moja
 
Land Cruiser anamfata Nissan Patrol kuweka engine zenye cc ndogo kwenye gari ambayo ni SUV na ni off road.

Nissan Patrol Y61 zenye engine ya RD28T yenye Cc 2800 na ZD30DDT yenye cc 3000 pia zina mfumo wa Common Rail na turbo. Hizi ukiwa nayo kwenye offroad performance yake ipo chini na kukwama ni rahisi hazina nguvu na muungurumo umekuwa kama wa gari ndogo.

Engine ndogo zinakuwa nzuri kwa ulaji wa mafuta ila kwa watu wa porini ni mzigo mkubwa. Kwa Nissan bora ubaki na TD42.

Hiyo series 300 atakuwa kalenga soko la ulaya si Afrika maana kwenye offroad zile tata haitofua dafu.
 
'Bigger HP = bigger engine = high fuel consumption'

Unaongelea tech. za miaka ipi?

Nikikwambia 2005 mazda rx-8 ina-produce HP 238 wkt ina cc 1300 only na ulaji wake ni 6.5km/l utaamini?

dodge

Angalia na aina ya ingine mzee
Kama gari ina 1300cc af inatumia 7.65kmpl kama average consumption ni shida
Mazda wanatumia rottery engines ambazo ni tofaut
Ila laws za fuel consuption itabaki ileile



Sent from my iPhone using JamiiForums
 


Hio 197HP ni kwa auto,manual ni 238HP.

Hio gari mimi nilikua nayo(manual) na hio 7.65km/l sio kweli hizo ni assumption za under ideal conditions lkn kwa mazingira halisi 6.5km/l ndio consumption yake.

Na wala engine ya cc 1300 kula 6-7km/l wala sio big deal kwa Rotary engine,umeshajua consumption ya Engine oil kwny rotary engine ikoje?Utashangaaa

Ndio maana hio concept yako Bigger HP = bigger engine = high fuel consumption' lazima ueleze na ni tech. gani unaongelea hapa.

dodge
 
hakuna haja ya kununua series 200 ya 2018 kwa 130ml. siku hizi watu wananunua series 200 ya 2008 then wana upgrade to 2018 kwa 11mil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…