Ni gari zuri mkuu ila tathmini yake ipo juu sana. Unajua kwa vyovyote vile atakayelinunua ni lazima aipige chini hiyo engine ya 2H kutokana na kuwa ni teknolojia ya zamani, engine kutokuwa na nguvu ya kutosha, kutokuwa na uhakika mzuri wa maintenance, n.k. Kwa kifupi hapa unauza bodi na axles zake. Nakutakia kila la kheri