Toyota Landcruiser Prado inauzwa

Toyota Landcruiser Prado inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Toyota Landcruiser Prado
1998Model LJ95 white Manual
3L 2800cc, Diesel Price 11mil.
Negotiable
0717114409
 

Attachments

  • PIC00890.JPG
    PIC00890.JPG
    36 KB · Views: 194
  • PIC00892.JPG
    PIC00892.JPG
    29.8 KB · Views: 152
bei yako sio mbaya, imekuwa ndogo mpaka wasiwasi unaingia
 
kwa bei hiyo siamini kama pana landcruiser hapo.......kwa nini inauzwa?
 
Gari ni DFP. lazima uilipie KODI. Hiyo bei ni kubwa nyinyi.

Labda millioni saba
 
Gari ni DFP. lazima uilipie KODI. Hiyo bei ni kubwa nyinyi.

Labda millioni saba

Ni kweli mkuu gari hizi za DFP (Donor Funded Project) huwa hazilipiwi kodi wakati zinanunuliwa na ndo maana huwa zinauzwa kwa bei ndogo ili ukaripie kodi. Na pengine huenda ilikuwa inatumiwa na foreigner ambaye amemaliza mkataba wake wa kazi na anaondoka nchini kwahiyo inabidi aiuze kwa bei ya harakaharaka. Kumbukuni enzi za magari ya TX yalikuwa yanauzwa kwa bei ndogo sana pia. Kwahiyo watu msihofu kuinunua.
 
Back
Top Bottom