Ni kweli mkuu gari hizi za DFP (Donor Funded Project) huwa hazilipiwi kodi wakati zinanunuliwa na ndo maana huwa zinauzwa kwa bei ndogo ili ukaripie kodi. Na pengine huenda ilikuwa inatumiwa na foreigner ambaye amemaliza mkataba wake wa kazi na anaondoka nchini kwahiyo inabidi aiuze kwa bei ya harakaharaka. Kumbukuni enzi za magari ya TX yalikuwa yanauzwa kwa bei ndogo sana pia. Kwahiyo watu msihofu kuinunua.