CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Sep 18, 2014 #21 Interested said: Ukihitaji kununua nifuate whatsapp nitakuelekeza hatua za kufuata. Mimi simalizi yote wala sipo sales department Click to expand... ok, nilitaka tu kujua kwanza, maana kutupia pesa kwenye akaunti ya mtu inataka moyo!
Interested said: Ukihitaji kununua nifuate whatsapp nitakuelekeza hatua za kufuata. Mimi simalizi yote wala sipo sales department Click to expand... ok, nilitaka tu kujua kwanza, maana kutupia pesa kwenye akaunti ya mtu inataka moyo!
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,049 Reaction score 10,502 Sep 18, 2014 #22 Hahahah,muuzaji na Mheshimiwa wa Bunge wanalumbana hapa. Mmeishaharibu biashara ya watu.
Ozzie JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 3,217 Reaction score 1,273 Sep 18, 2014 #23 Hiyo namba tu ya Whatsapp inaonesha ya Marekani, labda Los Angeles +1 213 285-9631....
Interested Member Joined Sep 14, 2014 Posts 12 Reaction score 5 Sep 18, 2014 Thread starter #24 CYBERTEQ said: ok, nilitaka tu kujua kwanza, maana kutupia pesa kwenye akaunti ya mtu inataka moyo! Click to expand... Nimekuelewa mkuu. Mimi sipokei malipo yoyote, wewe ukiipenda tu nifuate whatsapp kuna jamaa nitakuunganisha nao na hatua zote zinafuatwa. Asante na karibu.
CYBERTEQ said: ok, nilitaka tu kujua kwanza, maana kutupia pesa kwenye akaunti ya mtu inataka moyo! Click to expand... Nimekuelewa mkuu. Mimi sipokei malipo yoyote, wewe ukiipenda tu nifuate whatsapp kuna jamaa nitakuunganisha nao na hatua zote zinafuatwa. Asante na karibu.