Sijaelewa umelenga kwenye nini hasa as a transporter hizo gari zote nimemtumia kwa kwa safari kuanzia hilo toleo la nyuma mpka hilo na kuendelea pia nimesafiri na range Rover sport,range autobiography,bmw X6, Nissan Patrol V8 new model, land cruiser zx,vx r na gx turudi kwenye prado bado itabakia gari ya mwisho kati hizo kwenye safari hata kutembelea labda kwenye kubana matumizi ya mafuta ila kibongo bongo land cruiser V8 inaongoza kuhimili mikiki bila kujali ni barabara ipi range na bmw hizo lami kwa lami utaejoy Nissan ipo vizuri ila kuna baadhi ya vitu inazidiwa kidogo na V8 especially kwenye stability kwenye baadhi ya maeneo ila kwa Prado bado Prado bado anapambana na kina Fortuner