Toyota Landcruiser TX-l gari ya kiume kweli kweli imesimamia ngapii

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Habari wakuu hii gari aina ya toyota hizi toleoo la mwaka 2020 kama sikoseii nigari bora zaidi kutolewa kwenye matolea ya landcruiser prado ndomana hata serkali yetu inayaagiza kwakasi sasa yanaenda kushindana na V8



View attachment 2287286
 

Attachments

  • IMG_20220626_100701_827.jpg
    122.7 KB · Views: 134
  • BM127810_b691b8.jpg
    69.8 KB · Views: 125
Sijaelewa umelenga kwenye nini hasa as a transporter hizo gari zote nimemtumia kwa kwa safari kuanzia hilo toleo la nyuma mpka hilo na kuendelea pia nimesafiri na range Rover sport,range autobiography,bmw X6, Nissan Patrol V8 new model, land cruiser zx,vx r na gx turudi kwenye prado bado itabakia gari ya mwisho kati hizo kwenye safari hata kutembelea labda kwenye kubana matumizi ya mafuta ila kibongo bongo land cruiser V8 inaongoza kuhimili mikiki bila kujali ni barabara ipi range na bmw hizo lami kwa lami utaejoy Nissan ipo vizuri ila kuna baadhi ya vitu inazidiwa kidogo na V8 especially kwenye stability kwenye baadhi ya maeneo ila kwa Prado bado Prado bado anapambana na kina Fortuner
 
Kitu ambacho huwa sielewi mpaka Leo ni dereva wa Prado anapomwogopa dereva crown wakiwa highway... nakumbuka mwaka Jana nipo safarini maeneo ya shinyanga kuna Prado ilikuwa mbele yangu mwendo wa kawaida Ila alipoona nakuja nyuma akaanza na yeye kukanyaga kibati Kwa speed kubwa Kwa kwelii nilishangaa kuona Prado anakuwa mwoga Kwa babywalker
 
Nipe definition ya babywalker mkuu.
 
Prado hawezi kutoboa kwa Crown.
 
Umenunua crown mzee?
 
Huwezi kupenda wannabe ukaacha real thing unless you can't AFFORD IT.
Yaani upende Prado na sio VX-R....!
Kwasasa sina uwezo kununua vx-R but sijawahi kuipenda Prado, ni gari la kike zaidi na halihimili mbembembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…