Toyota LC 300

Zitaanza kuingia KWA wingi bongo mwishoni 2022 kwasabab Toyota imewapiga marufuku wajapani kuuza LC300 zao hadi miezi 12 kupita baada ya kuzinunua. Lakini unaweza kununua kwasasa kutoka Dubai tatizo ni LHD.

Lakini kuanzia December dealers wataruhusiwa kuzinunua KWA wingi Right hand drive. Australia tayari kuna order za 22000.
RRONDO
 
Halmashauri wameshaweka order kiasi gani?
 
Serikali si inanunuaga mapyaaa kabisa na baadhi ya wadau.. hizo used mnaachiwaga nyie
 
Kuna moja ya serikali imepigwa mnada Milioni nane,aliyenunua kaambiwa arudishe na waliohusika wametakiwa kujieleza...
Hili linchi linaweza kukuua kwa pressure. Siku hizi uwizi serikalini unaendelea kwa kasi kubwa,uko ngazi ya PHD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…