Toyota liteace truck vs townace truck

WA MAMNDENII

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2010
Posts
344
Reaction score
58
Wakuu naomba kwa wenye uzoefu magari tajwa ,nahitaji kuagiza kati ya gari sasa nipo kwenye kuchagua sijui niagize ipi ,je ipo ambayo ni pasua kichwa yenye tatizo sugu kwa model husika? Tafaaadhali ushauri wa kitaalam. Mbarikiwe sana
 
zote zipo sawa TOWNACE na LITEACE
ila VOXY achana nayo kabisa
nyingi ya Liteace zinatengenezwa km wagon za kubebea mizigo au milango ya kunyanyulia walemavu au ule wa nyuma wa kubebea mizigo mikubwa na kuinyanyua na kuiingiza yenyewe lakin zipo sasa kwa muonekano wangu zikifanya kazi hapa Bongo
Toyota LiteAce - Wikipedia
litangulia Liteace ikafuata townace kwa mizigo na abiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…