Car4Sale Toyota, Mark II Balloon, Dar es Salaam

Car4Sale Toyota, Mark II Balloon, Dar es Salaam

Keyala

Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
64
Reaction score
29
Ninauza gari Mark II Balloon kwa shilingi milioni mbili na nusu tu.
Kwa wanaopenda kuiona tuwasiliane kwa 0785 872 256. Muda wowote.
Gari inaweza kuingia barabarani, kutumika kama scraper au hata kuuza spare parts.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2018-05-18 at 16.48.32.jpeg
    WhatsApp Image 2018-05-18 at 16.48.32.jpeg
    66.2 KB · Views: 115
  • WhatsApp Image 2018-05-18 at 16.48.53.jpeg
    WhatsApp Image 2018-05-18 at 16.48.53.jpeg
    49.8 KB · Views: 94
  • WhatsApp Image 2018-05-18 at 16.49.25.jpeg
    WhatsApp Image 2018-05-18 at 16.49.25.jpeg
    63.9 KB · Views: 90
Imetembea umbali gani mdau? Ni auto ama Manual? CC ngapi,inadaiwa? na ni service gani inatakiwa!
 
Imetembea umbali gani mdau? Ni auto ama Manual? CC ngapi,inadaiwa? na ni service gani inatakiwa!
Ni ya mwaka1995 - Imekula chumvi nyingi.
Haina madeni. Ina Third Party Bima ya mpaka June, 2018
2000CC
Ni AUTO
Service inayohitajika ni ndogondogo tu.
 
kamata moja mkuuu, hizo service ndogo ndogo hazijaeleweka bado
 
Ninauza gari Mark II Balloon kwa shilingi milioni mbili na nusu tu.
Kwa wanaopenda kuiona tuwasiliane kwa 0785 872 256. Muda wowote.
Gari inaweza kuingia barabarani, kutumika kama scraper au hata kuuza spare parts.
Kwa wale ambao wanataka kuiona tuwasiliane kwa namba ya simu: 0785 872 256
 
Kama unataka kupungua bila kufanya mazoezi au kutumia dawa yeyote basi miliki gari mbovu.., hakuna rangi hutaacha kuona..!
 
Hamna tairi hapo achilia service ndigondogo kila kona. Jiwe 1 cash PM.
 
Hata ukitoa gari Japan mara nyingi itabidi ubadilishe tairi baada ya muda fulani. Hizo ni gharama za kawaida hasa unaponunua gari ambayo imeshatumika kabla.

Hata betri sjui kama nzima
 
Back
Top Bottom