Ni ya mwaka1995 - Imekula chumvi nyingi.Imetembea umbali gani mdau? Ni auto ama Manual? CC ngapi,inadaiwa? na ni service gani inatakiwa!
kamata moja mkuuu, hizo service ndogo ndogo hazijaeleweka bado
Kwa wale ambao wanataka kuiona tuwasiliane kwa namba ya simu: 0785 872 256Ninauza gari Mark II Balloon kwa shilingi milioni mbili na nusu tu.
Kwa wanaopenda kuiona tuwasiliane kwa 0785 872 256. Muda wowote.
Gari inaweza kuingia barabarani, kutumika kama scraper au hata kuuza spare parts.
Mbili unabeba mwari. Gari unawasha kwa jiwe moja na kutambaaa.
Bado yuko fit sana. Mashine inaunguruma vizuri.Mwari wako.kala chumvi balaa!
Hamna tairi hapo achilia service ndigondogo kila kona. Jiwe 1 cash PM.
Hata betri sjui kama nzimaHata ukitoa gari Japan mara nyingi itabidi ubadilishe tairi baada ya muda fulani. Hizo ni gharama za kawaida hasa unaponunua gari ambayo imeshatumika kabla.
Betri haina miezi miwili tangu niinunue. Bado mpya kabisaHata betri sjui kama nzima