Nauza Toyota mark ii cresta baloon yenye 4S engine na mileage 132,227 ambayo iko kwenye hali nzuri kabisa.
Engine Safi, Body haijawahi kuguswa na mkono wa fundi rangi, inarangi ya grey. Gari hii ilikuwa inatumiwa na mtu mzima huko DOM hivyo Rangi iliyowahi pigwa ni kwenye bumber ya mbele baada ya kupigwa pasi.
Haina kutu, na huko chini hakuna cha kubadilisha, unanunua na kuanza kutumia.
Mawasiliano 0719206920.
Njoo na fundi kwaajili ya ukaguzi.