gari aina ya Toyota mark ii grand inauzwa kwa shilingi milioni 6.5 haina tatizo hata kidogo njoo na fundi wako uicheki kwa uhakika zaidi IPO vikindu nje kidogo ya jiji la dar.gari imelipiwa insurance mpaka April 2015 na kila mwezi ilikuwa inaenda service sababu ya kuuza mwenyewe nimenunua gari nyingine.
nicheki 0688 206680 nikutumie mapicha whatsap hapa zimegoma