Ulaji wake wa mafuta si nzuri.Kuna bro wangu tulishapeleka gereji kwa kuhisi uenda tank linavujisha lakini wapi.Chuma imetulia sana ila tu najiuliza kwanini hizi gari zinauzwa bei chee hivi?
Njoo Magomeni Mikumi uliza Munyama. Hamaa njoo na m5 magomeni ukishauza hili zaidi ya M5.Niletee ya hiyo bei nanunu mkuu
Lita moja km ngapiUkiwa na gari type hii inabidi uwe vizur kwenye mafuta otherwise utakuwa unaitumia mara nne kwa mwezi
Soko la magari chakavu kwisha habari yake nayaita chakavu kwa sbb ni zaidi ya usedChuma imetulia sana ila tu najiuliza kwanini hizi gari zinauzwa bei chee hivi?
1890 mkuu