Toyota Mark X 2006 inauzwa


najua mtu anayo hio gari since 2008 na bado iko safi kabisa engine na bodi....miaka sio issue....tena yako nimeona umeandika ina 78,000km hio bado saana,kama kuna mteja wa kweli atanunua tu
 

Poa mkuu,nadhani by wednesday nitakua nimesha upload pics
 
najua mtu anayo hio gari since 2008 na bado iko safi kabisa engine na bodi....miaka sio issue....tena yako nimeona umeandika ina 78,000km hio bado saana,kama kuna mteja wa kweli atanunua tu
Ofkoz miaka sio issue mkuu,issue ni matunzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…