Kweli ac ha uitwe King Kong,yaani una data za ukweli.Bei poa ndio ngapi? ATN ina km 6497? Au hata kama 64970km hii gari inamiaka karibia 8 hapa bongo,je kwa japani ilitoka na 0km uliponunu 2006? Ina maana miaka miwili 2004 mpaka 2006 ilikuwa yard? Je ni kweli kwa bongo ilivyoingia na 0km imetembea miaka 8 kwa 64970km? Inamaana ilikuwa inatembea km 22 kwa siku.
Kweli ac ha uitwe King Kong,yaani una data za ukweli.
Hongera unatusaidia sie wenye kuvamia tu,licha ya kwamba baadhi ya mida unakumbana na changamoto za wahusika
Ndugu yangu Zanzibar Spices inaumiza sana kumuingiza mkenge mtu hela ni ngumu sana kwenye utata lazima tuweke sawa ili mteja akiingia kichwa kichwa iwe ni kujitakia!! Cha kushangaza hata muuzaji hajakanusha kuhusu hizo km za gari 6,497km Reg ATN iliyotembea zaidi ya miaka 8 hapa tanzania....Nashukuru pia na wewe kuwapa makavu live watu wa design kama hii.
Miaka 8 x 365 days =2,920 days
Km 6,497/2920 = 2.2km
Ilikuwa ikitembea km 2.22 kwa siku!!
bado ipo