Toyota mark X vs Toyota brevis

Toyota mark X vs Toyota brevis

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
746
Reaction score
655
Wakuu salama,

Kwa Mwenye ujuzi na magari haya mawili yote yawe Yana Sifa zinazofanana kwa mana production year engine capacity na mileage ipi ni gari bora zaid?

1601321820960.png

Toyota mark X

1601322023340.png


Toyota brevis
 
Ngoja watu wachangie kwanzanimitoa ufaanuzi nitafunga uzi wako mpema
 
Mlinganisho wa haya magari kama sikosei ulishafanyika humu. Jaribu tu kupekua posts za nyuma.
 
Back
Top Bottom