Toyota markX 250G

Toyota markX 250G

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
907
Naomba mwenye kufahamu bei ya gari hili Toyota markX 250G nimeipenda sana nataka kununulia yard za Dar
 
kuna mtu anayo ameichukua mwezi wa 8 mwaka jana bado mpya kabisa pamoja na bodykit zake anauza 13m
 
Naupizia kununulia yard za Dar, hizo za mikononi siziamini sana naomba kama unauzoefu niulizie
 
Back
Top Bottom