ulaya12 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 834 Reaction score 907 Jan 10, 2018 #1 Naomba mwenye kufahamu bei ya gari hili Toyota markX 250G nimeipenda sana nataka kununulia yard za Dar
Naomba mwenye kufahamu bei ya gari hili Toyota markX 250G nimeipenda sana nataka kununulia yard za Dar
M mabwiku JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 447 Reaction score 390 Jan 11, 2018 #2 kuna mtu anayo ameichukua mwezi wa 8 mwaka jana bado mpya kabisa pamoja na bodykit zake anauza 13m
ulaya12 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 834 Reaction score 907 Jan 11, 2018 Thread starter #3 Naupizia kununulia yard za Dar, hizo za mikononi siziamini sana naomba kama unauzoefu niulizie