Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
- Thread starter
-
- #21
Engine yake ni D4?
Engine CC 2000. Kwan lazma ununue babu we nenda kanunue unakojua ww. Yangu nauza bei hyo. Sina njaa, Sidaiwi na Gari ninazo nyingi na za maana.
duh! kama una hela hilo gari si umpe hata mtoto wa shangazi huko kijijini mkuu, unauza ili nini, na utakoma mwaka huu baki na ligari lako acha kuogopa hela ya mafuta
wapelekee wa mikoani lakini sio dar, hilo gari kama sio la shemeji yako basi ni la baba ako amekuomba umsaidie kuuza kijana ndo unataka na mtaji hapo hapo! kaa na AWB yako!Kwan shida ipo wapi ?? Sina haraka wala shida. Wanaojua quality za gari nzuri watakuja negotiate tufanye biashara. Gharama za kutunza gari unazijua ww ??
Yes mkuu, Engine ni D4.
JF kiboko yaani ajilipue nayo ndio Bima waje wamlipe yeye pamoja na gari bado haitafika hiyo 11mTena iwe mbali na makazi ya watu ili wasimuokoe.
JF kiboko yaani ajilipue nayo ndio Bima waje wamlipe yeye pamoja na gari bado haitafika hiyo 11m
gari peke yake mpya ya Nadia kwa hapa Dodoma ni 6.5m
lkn AWB lazima ina miaka mi5 hadi 10 nyuma
wapelekee wa mikoani lakini sio dar, hilo gari kama sio la shemeji yako basi ni la baba ako amekuomba umsaidie kuuza kijana ndo unataka na mtaji hapo hapo! kaa na AWB yako!
wapelekee wa mikoani lakini sio dar, hilo gari kama sio la shemeji yako basi ni la baba ako amekuomba umsaidie kuuza kijana ndo unataka na mtaji hapo hapo! kaa na AWB yako!
Million 11.
Fungua tradecarview uone bei ya gari hii upate ufahamu. Uache wizi, hapa kuna wajuvi wengi mkuu.
Umemshauri vizuri, alafu alichome moto akiwa amejifungia huko ndani ya Gari
Duh m11? Kaa nayo tu, labda upate ----, max rrp <5m
Pamoja sana mkuu
Kwan shida ipo wapi ?? Sina haraka wala shida. Wanaojua quality za gari nzuri watakuja negotiate tufanye biashara. Gharama za kutunza gari unazijua ww ??
Million 11.