Toyota nadia (2003) for sale. In very good condition

Nafaham sanaa...maongezi yapo ndio maana nikasema kuna watu na negotiate nao PM. Mm sio mjinga/limbukeni.

Kweli wewe sio mjinga/limbukeni. Mjinga/limbukeni ni huyo aliye ku PM, ni wale wenye imani tulizo kuwa nazo zamani kuwa bei ya gar ni hela iliyojaa gunia. Na kujitapa huna shida unakosea, sema shida uliyo nayo ili mtu akupe hyo bei kama part ya msaada wake kwa yeye kuguswa na kilicho kusibu, ila wasio na shida hawaendeshi nadia ya mwaka 2003. Usifanye kama wa machinga kitu cha buku anakuanzia buku 20. Wanao kukanusha sio haters, ni watu wanao kerwa na utapeli. Be genuine, hakuna mtu atakaye nunua nadia ya zamani kuliko zote(namba AWZ) kwa 11M hata awe ametoka sigimbi leo. Donti taki iti pesono, just be easy.
 
Mleta uzi ni Mzalamo wa chole aliyepewa gari na shemeji yake,jifunze kufanya biashara acha kautapeli,harrier ml 9 ipo katika hali nzuri adi mil 8 me nadia nakupa mil 6
 

I get what what ur saying...my strategy at tha first place ilikua kujua value ya hyo gari sokoni kwa sasa..ndio maana nika weka makusudi hyo bei cz ningekuja straight to tha point kwamba watu wani kadirie bei ya kuuza hyo gari watu wangeniletea mizaha humu. Wachache wamenielewa ndio hao walio PM. Ndio maana nikakuambia I knew what i was doing. Wengine sijui gari ya baba sijui ya shemej..hao ndio waswahili wenyewe hawajui chochote zaidi ya ku leta assumptions za kijinga. Ndio maana mwanzoni wa thread nikasema " Let me know ur offers " ili nijue. Watu walivyoanza kunletea kejeli, nikasema nauza Million 11 ili watu wanifungukie kwa hasira na ukitaka kujua fikra/mawazo yalio ndani mwa mtu msikilize kwa makini anapooongea akiwa na jazba/hasira (akili ndogo tu). Sijaanza kununua magari leo na siuzii shida hyo gari. Na Kwann mtu atafute dalali wakati vitu kama JamiiF vipo ??? Hope its clear.

Moral of the story: Usikurupuke ku criticize kitu usicho kielewa wala kukijua. Somethings just happen for a reason.
 
Mleta uzi ni Mzalamo wa chole aliyepewa gari na shemeji yake,jifunze kufanya biashara acha kautapeli,harrier ml 9 ipo katika hali nzuri adi mil 8 me nadia nakupa mil 6

sikiliza offer ya mdau hapo kaka, acheni malumbano.

 
...Mi napita tu kwa kweli! ila tuwe wakweli,gari no. 'A' umeanza na 11M iko juu sana bhana ata kama negotiable, kama

ilikuwa hitumiki but uchakavu wa zaidi ya miaka 5 sasa ndani ya dar..by where Nadia mupya ni 12.5M...so re value your car.

ni mawazo yangu tu so sijaingilia wala kuponda mali yako,wanunuzi karibuni sana...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…