B Bob Nash Member Joined Aug 21, 2009 Posts 64 Reaction score 0 Jun 14, 2010 #1 Toyota Noah, New Model, Imeshasajiliwa, Imeingizwa nchini last month, bei milioni 18, 0654 633109
Albedo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,558 Reaction score 1,456 Jun 14, 2010 #2 Bob Nash said: Toyota Noah, New Model, Imeshasajiliwa, Imeingizwa nchini last month, bei milioni 18, 0654 633109 Click to expand... Hiyo bei mwana mh, hope unamaanisha mil 18 na contact ni 0654 633109
Bob Nash said: Toyota Noah, New Model, Imeshasajiliwa, Imeingizwa nchini last month, bei milioni 18, 0654 633109 Click to expand... Hiyo bei mwana mh, hope unamaanisha mil 18 na contact ni 0654 633109
shiumiti JF-Expert Member Joined Jun 4, 2009 Posts 435 Reaction score 19 Jun 14, 2010 #3 Weka na picha mshikaji watu tuone ni ya mwaka gani....maana hiyo bei ni kubwa kwa hiyo ni vyema ikawiana na model ya gari... WEKA PICHA BABA, KAMA KWELI UKO SERIOUS NA BIASHARA
Weka na picha mshikaji watu tuone ni ya mwaka gani....maana hiyo bei ni kubwa kwa hiyo ni vyema ikawiana na model ya gari... WEKA PICHA BABA, KAMA KWELI UKO SERIOUS NA BIASHARA
K Kifimbocheza JF-Expert Member Joined Aug 7, 2008 Posts 494 Reaction score 121 Jun 14, 2010 #4 weka picha wewe Hivi unataka kumwuzia nani Mmbuzi kwenye Gunia?:lie: