profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Wakati mwingine maboresho yanaweza kugoma,ndio kwa gari hizi,noah old model ni nzuri kushinda matoleo ya karibuni(voxy),hizi gari hazichuji na sokoni ziko hot sana,ni gari imara na himilivu kwa mazingira ya kiafrika,spea zipo kila kona,kuna road tourer,exurb,extra lymo nk,zinabeba abiria saba bila shida,zipo za 2wd na 4wd,acha noah isiwe na mpinzani,ingawa Alphard anamfatia noah kwa mbali sana...View attachment 2144682View attachment 2144683
Hakika, imekaa zaidi ki Liteace kuliko kivoxy..Hilo toleo wameliita tu Noah lakini limetengenezwa kutokea kwenye Toyota Liteace...
Ukitafuta mtandaoni toyota Noah kama Toyota Noah utaletewa New model na siyo hiyo hiyo Old model. Old model wameiweka kwenye kundi la Liteace...