Car4Sale Toyota Noah inauzwa kwa bei rahisi sana

Car4Sale Toyota Noah inauzwa kwa bei rahisi sana

Faru12

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
391
Reaction score
235
Gari aina ya Toyota Noah new model ya mwaka 2005
Cc1990, inatumia petrol, imetembea kilomita 165000. Kwa mawasiliano piga sim kwa namba 0657469664. Bei inataka 6.5milion. Gari haina tatizo yoyote full documents. Haijawai kupata ajali.
8caa7e2c5751202c57ddfe719c7d6b66.jpg
323b7ad2cfec65df7acedee7ff5f5f7a.jpg
f2991cac8614c586bb5fa7a8ad117952.jpg
 
Gari nzuri inaonesha ngj ntakupigia sim namba yangu inaishia 41

Ova
 
Gari nzuri kwa muonekano na bei ni nzuri.... sema cc hizo hata kuifanya uber maumivu.. wenye mahitaji ya family car mje kwa spidi..

au unakaa mbezi na kazi posta.. unakula vichwa tu asubuh na jioni
 
Ma bossi, Gari bado IPO. 6.5 maongezi yapo. Inauzwa kuna matatizo kidogo yakifamilia.
 
Back
Top Bottom