Nakuelewa Mkuu ndio maana nimeweka maongezi tuzungumze mpaka tutapopatanaKwa nini usiiuze hiyo gari kwa bei rafiki ili itoke mapema? Kwa bei hiyo si bora mtu aagize mwenyewe nje!! Yaani gari umeitumia kwa miaka minne, usajili wa DG, halafu bei mil.13!!
Anyway, ngoja nisijione mjuaji. Kila la heri katika biashara yako.