masele paul
Member
- Jan 12, 2017
- 46
- 37
New model ndo ipi hiyo? tupia picha basi!New model iko poa zaidi
Ninamaanisha Ipi inavumilia mikimiki hasa vijijini
Ninamaanisha Ipi inavumilia mikimiki hasa vijijini
Ndio boss ,,new model inafaa kwa matumizi binafsi tuInatregemea na matumizi !! Kama ni biashara ya usafiri OLD ndion nzuri !! Pia ni ngumu katika kuhimili mikiki x 2 !!