Wadau ninaomba kufahamu ubora na uimara wa injini za Noah new model pamoja na mfumo utengenezaji yaani kufanya service ni changamoto zipi utakumbana nazo. Uimara wa bodi lake. Nitashukuru
MTOA MADA ANAULIZA KUHUSU NOAH NEW MODEL.NAONA MAJIBU YA WENGINE WANAITA ETI NI 'NOAH VOXY'.NOAH NEW MODEL IPO SAFI HAKIKISHA SERVICE UNAFANYA KWA WAKATI.