profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
asante mkuu,nasikia kuna ,noah dungu na noah panki,,kwa uzoefu wako ni vipi hizo..na ulaji mafuta ni vipi hizo extra limo..Tafuta extra limo hiyo ni zaidi ya treni ni gari ngumu na imara pia
Consumption zinafanana tuasante mkuu,nasikia kuna ,noah dungu na noah panki,,kwa uzoefu wako ni vipi hizo..na ulaji mafuta ni vipi hizo extra limo..
Consumption zinafanana tu