Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Mfano hii cresta gx 100 unaipata kwa Tshs milioni 2 tu na ofa ya mafuta ya elfu 20Ukihitaji gari za bei ndogo kama hizi kwa shughuli zako mbalimbali usisite kunitumia sms kwa 0683011003
Bei yako na mkoa uliko
KARIBUNI SANA NDUGU ZANGU
Mkuu wangu ongeza mia sita tumalize biashara.Chukua 2.2 M chap nije na fundi niichek nikuachie hela
Naweka kambi hapa.Kwa niaba ya wanyonge wote, naomba kuchukua nafasi kukopongeza. Mimi nataka uniwekee mitambo yenye gear box manual pekee. Huku milimani nilipo, huwa hatutumii kabisa gari za automatic!
Vits, corolla, escudo, nk. Bei kama kawaida! Kuanzia milioni 1.5 mpaka milioni 3 π
Rumion jeWatu waliodesign shepu ya Passo ni mafala sana!