Now thats too badWatu wakiona Passo tu humu JF,jibu lao ni moja mkuu.BABYWALKER
Aisee!
Mtoa mada nadhani ushaanza kujionea majibu ya wandugu humu jf.
Mkuu we hiyo gari kainunue kama umeipenda.Huku huwezi kupata wadadavuaji wa model hiyo.Wakuu natumai mko poa kabsa na mnasonga mbele kimaisha.
Napenda muundo wa passo Racy lakini too bad sion thread yoyote ikizungumzia hizi gari. Wengi mnaongelea passo 3piston na 4.
Mnaonaje wajuzi mzidadavue hapa kwa faida ya jf members.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu naona wengi hawazijua Paso Racy anazozungumzia mleta madaHahahah unataka kuishi kwenye passo mzee baba? Kama tatizo mafuta tulia kwenye fielder ya 2008 walau inaaangalika.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] acha utanYangu jamaa alinipa ofa tubadilishane na Tecno,nikamambia anipe na memory card yenye 8GB,jamaa akagoma na biashara ikafia hapo
TRD - Toyota Racing Developmentmkuu naona wengi hawazijua Paso Racy anazozungumzia mleta mada
hii sio paso ya kawaida iliyozoeleka ..hii ni paso toleo la TRD najua we mjanja utakuwa umeshajua toyota ikiwa TRD inakuwaje
hizi zipo mor advanced kwanzia suspension... engine.. hadi transimion na zote nilizokutana nazo zilikuwa ni MT na kuna moja kati yao ilikuwa powered by boosted NZ engine wit FMIC it was a bad ass rat... quicker and very powerful