jino kwa jino
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 794
- 191
wapendwa nimefika bei hiki kigari TOYOTA PLATZ ya mwaka 2000 ina cc 990 imetembe km 51000 mnaovijua kinaweza kuhimili masafa marefu wenda kula x-mass kijijini huko tukuyu, na njia korofi za dsm, nishaurini kabla sijamkabithi mutu cheki yake
Amekubwenga kwa bei gani?wapendwa nimefika bei hiki kigari TOYOTA PLATZ ya mwaka 2000 ina cc 990 imetembe km 51000 mnaovijua kinaweza kuhimili masafa marefu wenda kula x-mass kijijini huko tukuyu, na njia korofi za dsm, nishaurini kabla sijamkabithi mutu cheki yake
Amekubwenga kwa bei gani?
Chukua hicho. Mabonde, Kyimbila, Lutengano, kote kinafika
Ninawasiwasi na kama kitahimili kutoka pale Suma mpaka kandete mwakaleli. Hasa kipindi hiki maana ikidondoka mvua ni mwendo wa Landlover tuu.Chukua hicho. Mabonde, Kyimbila, Lutengano, kote kinafika
Ninawasiwasi na kama kitahimili kutoka pale Suma mpaka kandete mwakaleli. Hasa kipindi hiki maana ikidondoka mvua ni mwendo wa Landlover tuu.
Chukua huo mkoko mdada (jinsia kwa hisani ya avatar). Bei hiyo si mbaya japo waweza kumlilia ki-kikekike (kwa hisani ya avatar) anaweza akaionea huruma jinsia yako (kwa mujibu wa avatar) akakupunguzia kiduchu.7M hakijatumika sana bongo kina kama mwezi mmoja tangu kitue nchini
pakiwa na mvua ntakiachaga mujini baba
Ninawasiwasi na kama kitahimili kutoka pale Suma mpaka kandete mwakaleli. Hasa kipindi hiki maana ikidondoka mvua ni mwendo wa Landlover tuu.
Chukua huo mkoko mdada (jinsia kwa hisani ya avatar). Bei hiyo si mbaya japo waweza kumlilia ki-kikekike (kwa hisani ya avatar) anaweza akaionea huruma jinsia yako (kwa mujibu wa avatar) akakupunguzia kiduchu.
Chonde chonde tusinyimane lifti.