Car4Sale Toyota Prado 1KZ Engine 2001 inauzwa.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Pic lazima upige na ndani pia plus mileage za gari,sio outside the car only we want to see inside the car
 
Luna cc ngapi Mkuu?? Ila kwa hiyo bei kwa maisha haya hapa jipange upya litakufia mkuu
 
Mna maneno nyie sasa lipi jema?
 
Watu ni wapuuzi kweli, Gali umetumia miaka 8 bado unauza 22ml au hata 10ml
Halazimishwi mtu. Unajipima mwenyewe kama unaona inalipa unajitosa. Hiyo ndio biashara lisipouzika kwa bei hiyo, atauza kwa bei iliopo sokoni.
 
Picha ni nzuri na hata mwenye hiyo gari inaonyesha ni mtunzaji mzuri,kwa sisi tunaojua magari kwa hiyo namba huwezi uza kwa bei hiyo,kitakachomsaidia kuuza kwa bei nzuri ambayo itakuwa ni chini ya hapo ni mileage yake,kama iko chini ya 100,000 itakuwa vizuri.
 
Mnaosema bei kubwa mnataka bei gani?maana mnaishia kulalamikia jikoni
 
Prado old model kama hyo mpya inauzwa mil.25 , ww hii namba A unauza mil.22?? lijue soko, wajue wateja then fanya biashara! kwa hyo bei utakesha
 
Zinaweza pia picha ni za zamani wakati gari bado inaita
Mkuu ndiyo maana sijaficha hata no ukitaka hata sasa hivi nikupigie picha ikionyesha mda na tarehe naweza kufanya hivyo sina sabab ya kukuonyesha picha za zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…