Huyu ni dalali.Nikisikia/Nikisoma kitu kinauzwa bila kuwekwa bei nahisi aliyetoa habari ni dalali anataka cha juu
Hakuna bei, mkoa gari ipo, imetembea umbali gani...Nikisikia/Nikisoma kitu kinauzwa bila kuwekwa bei nahisi aliyetoa habari ni dalali anataka cha juu
Ni milioni 300 wakuu. Kila anayekwenda PM anaelezwa hivyo. Bei hiyo haijumuishi cha juu cha dalali. BEI NDIYO HIYO 300Mnimemcheki PM kanambia ni 300m, cha udalali 2m