JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Asante pia kwa ushaurimi nakushauri nunua magari haya yafuatayo..
1. starlet
2. passo
3. Kirikuu kama unataka na kubebea matikiti shambani.
ayi ma prado hayana dili kabisa, gari gani ukitaja hadi damu inasisimuka?
Nataka itumike kwenye safari za mkoani za mara kwa maraUtalitumia kwa matumizi gani? Mji gani? Etc
Kama ni best before km 300 000 sioni hatari ya kununua ikiwa km100 000Prado yako iwe na 1KZ engine petrol au diesel.
Engine isizidi cc3000
Na isiwe v6
Utaenjoy
Nimezitumia zote ila hiyo hapo juu hutajuta.
Epuka gari za diesel ambazo km zake zinazidi 100 000 maana prado iko at its best before km 300 000 kwa diesel.
Prado yako iwe na 1KZ engine petrol au diesel.
Engine isizidi cc3000
Na isiwe v6
Utaenjoy
Nimezitumia zote ila hiyo hapo juu hutajuta.
Epuka gari za diesel ambazo km zake zinazidi 100 000 maana prado iko at its best before km 300 000 kwa diesel.
version hii ya prado hakuna inayotumia engine ya 1KZ, ukikuta ina aina iyo ya engine jua wameshawai kuibadilisha engine, diesel version zake hutumua 1KD au 2KD engines....na GX version zake zinakuja na 5L enginePrado yako iwe na 1KZ engine petrol au diesel.
Engine isizidi cc3000
Na isiwe v6
Utaenjoy
Nimezitumia zote ila hiyo hapo juu hutajuta.
Epuka gari za diesel ambazo km zake zinazidi 100 000 maana prado iko at its best before km 300 000 kwa diesel.
Na isiwe v6
kati yaHivi utility vehicle kama Land Cruiser kubwa namna hiyo inaweza kuwa na cylinder 4 kweli?
Au ulimaanisha asinunue V6 akanunue V8 na V12?
kati ya
TRJ120W 2,690cc (2TR)
RZJ125W 2,690cc (3RZ)
kuna ambayo ni 4 cylinder?
Ndio hicho kitu nasema sidhani kama kinawezekana kuwa na Landcruiser kubwa kama Prado ukakuta lina 4 Cylinder.
Na kama ipo, engine ya 4 Cylinder kuvuta Prado itakuwa haina nguvu, utakuta inalazimika kutumia mafuta yale yale kama 6 cyl.
Kwa nini usi consider Prado ya diesel? Again, kama lengo ni ku save kwenye mafuta.
zote izo ni four cylinders..petrol engines.....kati ya
TRJ120W 2,690cc (2TR)
RZJ125W 2,690cc (3RZ)
kuna ambayo ni 4 cylinder?
"Badili Tabia "Sijawahi kupenda prado.....
Ford ni nzuri....ipo vizuri kwa road....ulaji wa mafuta sio kivile....kitu everest