Toyota Prado Ipi Bora?

half cylinder ya kerosene ni bomba zaidi. hata service yake ni gricelyne tu kopo 1 unatembeakm 1000000
 
Tindikali diesel zake zina 4cylinder mbna hata kwa toleo la nne kuna injini moja kali sana ni 1GD FTV ni silinda nne na 177hp ni nyingi sana


shida si namba of cylinder shida ni output

kwa ww si ajabu ungechagua 1HD-FTE cruiser 4.2L 6cly with 164hp ukaacha prado j150 2.8L 4cly 177hp kisa idadi ya cylinder kumbe mashine ni hiyo prado
 
Mkuu vipi j120
 
hata j120 nzuri kwa wapenda diesel kuna 1KD FTV mafuta kunusa na 173hp
 
Umechukua pesa ndefu sana Lumumba apo...msaidie na Lizaboni maana sijawahi kumsikia akiulizia ata bei ya boxer mpya
 
chukua RZJ120 ambazo ni four cylinder kama unaangalia maintenance
 
Ila zinaharibika haraka izo ford zako unaweza lia
Hakuna gari isiyoharibika...

Ni matunzo

Kuendesha kwa umakini

Na service n maintenance kwa wakati...bila kusahau vipuri sahihi na halisi pamoja na fundi anayejua....
 

Kwani PRADO zipo kenye kundi gani la magari? Mbona zote ni SUV - sasa gari la aina hiyo linawezaje kushindwa kwenda/pita porini??? Cha muhimu hapa ni kuangalia specs za horsepower na torgue at maximum rpm - mambo mengine ni secondary.
 
mi nakushauri nunua magari haya yafuatayo..
1. starlet
2. passo
3. Kirikuu kama unataka na kubebea matikiti shambani.
ayi ma prado hayana dili kabisa, gari gani ukitaja hadi damu inasisimuka?
Nmekusoma mkuu
 
Hivi wakuu,nauliza hv kuna watu wanaweza chezea gari ionyeshe mileage ndogo?
 
Well said.... Kingine ambacho wengi hawajua,kimsingi Prado sio land cruiser,Gari hizi zimetoholewa kutoka kwenye platform ya Toyota Surf

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Pia zinaingiliana na Toyota surf na Hiace custom 1kz te

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Well said.... Kingine ambacho wengi hawajua,kimsingi Prado sio land cruiser,Gari hizi zimetoholewa kutoka kwenye platform ya Toyota Surf

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa, hata chassis yake ni ya Toyota surf.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Rx
 

Attachments

  • Screenshot_20170714-094227.png
    477 KB · Views: 141
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…