Refer: durability achana na fuel consumtion1KZ haina fuel consumption nzuri, spare zipo kibao na mafundi wengi wanaimudu
1KZ haina fuel consumption nzuri, spare zipo kibao na mafundi wengi wanaimudu
Ina durability sana, kwa matumizi yake abebe Rav4. Maintainance cost za 1Kz ni kubwa na yeye gari anaitumia muda mwingi town tripRefer: durability achana na fuel consumtion