Car4Sale Toyota Prado TX for sale

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Posts
15,328
Reaction score
11,192
Nauza Toyota Prado
Model: E-RZJ95W
Ukubwa wa jiko (injini) cc 2690
Rangi nyeusi
Inatumia petroli
Imetembea km 200,000
Imetumika muda mfupi sana hapa Tanzania
Gari ipo Dar Es Salaam
Bei: 22m. Maongezi yapo
Mawasiliano: 0763 966782
Karibuni sana

Kwa hiyo bei umenimotivate na mm niagize la kwangu Japan next yr, kumbe inaonekana nikiwa na 25m ntavuta kitu kikali saaanaaa......
 
Kwa hiyo bei umenimotivate na mm niagize la kwangu Japan next yr, kumbe inaonekana nikiwa na 25m ntavuta kitu kikali saaanaaa......
Kiaina. Ila shida iko pale TRA, makadirio ya kodi kwa saa yako juu sana mkuu
 
ok swali limelenga
1 gari haina shaka - maan na picha umeweka labda mtu afanye fujo tu
2 je Bei unaanzia ngapi ku bargain?
3. contacts ? au PM hapa hapa?
 
ok swali limelenga
1 gari haina shaka - maan na picha umeweka labda mtu afanye fujo tu
2 je Bei unaanzia ngapi ku bargain?
3. contacts ? au PM hapa hapa?
Hapo nimekuelewa mkuu. Contact nimeweka hapo juu mwanzoni mwa thread. Unaweza kunipigia au sms ama ukaja PM, unieleze una kiasi gani, ili tuongee. Hakuna kinachoshindikana.
 
Hapa hakuna biashara [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Gari nzuri ila kama limeshapata mzinga.....ni kweli au sio ...?
 
Swali umenunua hapa au japan....?namba D km 200000?mbona ina rangi ya marudio au ilishawai kupatwa na ajali tupe maelezo ya kina.
 
Swali umenunua hapa au japan....?namba D km 200000?mbona ina rangi ya marudio au ilishawai kupatwa na ajali tupe maelezo ya kina.
Imenunuliwa Japan moja kwa moja. Haina historia ya ajali.
 
Imenunuliwa Japan moja kwa moja. Haina historia ya ajali.
Mkuu kwa picha inaonekana rangi imerudiwa pili kwa namba D km laki mbili huwezi kuagiza labda ujui mambo ya magari maana cif ni usd 5000 hadi 7 je ushuru usd 9000 we acha utani na magari labda wewe ni dalali na ujui imeagizwa wapi bottom line.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…