Tena na bodi limenyooshwa, inaonekana iliwahi kula mzinga. Labda auze kwa 5m, ila pia spare za prado ni balaa, yaani ilivyo hiyo ukitaka irudi kwenye hali yake nzuri unaweza kupata ki baby walker toka japanMbona limepakwa rangi mkuu
Waliokwisha kuwa na magari wamenielewa mkuu, sidhani kama kuna haja ya mimi kubishana na wewe!....ulitaka lipakwe poda....?
Hii gari yako iko vizuri sana na itabidi niangalie mitego yangu ya wiki hii ikikaa poa nitakuuliza vitu vingine vya ziada. LAKINI UJAMTENDEA HAKI JAMAA HAPO JUU.
Hii yakwangu nauza 22ml 1Kz Diesel lakini no A na huwezi kuilinganisha na yakwako.
[
Car4Sale - Toyota Prado 1KZ Engine 2001 inauzwa.Ungeanzisha thread mpya ndg. Simple