M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Taxi kwa awamu hii andika maumivu labda ufungue banda la chipsInafaa mkuu we piga kazi, hivi tax inalipa?
Tuko na Ist mbele ipo Premio, tupo Mikumi saa tisa usiku yule jamaa alitutoka kama utani. Hii gari inakula lami aisee.[/QUOTE
Jamaa gani aliyewatoka?
Usiweke tax mzee,iweke uber ina pesa zaidi na ipo kidigitali,utafaidi mwenyewe! Miezi 10 tu tayari umesharudisha hela ya gari ambapo unaweza kununua jingine jipya!! Kama upo nalo nipm nikupe dereva aliesajiliwa uberWakuu kama mjuavyo vyuma vimekaza Kiukwel. Nafikiria kujiongeza kwenye biashara ya Taxi je Toyota Premio (pichani) inafaa kwa shughuli tajwa? Ulaji wake wa mafuta, spea n.k. natanguliza shukrani.
1790cc....engine...DBA TR.
**Toyota Premio (si Premier)
Mkuu hesabu ni kiasi gani kwa siku dereva analeta??Usiweke tax mzee,iweke uber ina pesa zaidi na ipo kidigitali,utafaidi mwenyewe! Miezi 10 tu tayari umesharudisha hela ya gari ambapo unaweza kununua jingine jipya!! Kama upo nalo nipm nikupe dereva aliesajiliwa uber
Hesabu ni kwa week laki mbiliMkuu hesabu ni kiasi gani kwa siku dereva analeta??
Kweli buana,laki mbili mara week 40 na kitu inakupa 8M na usheeHesabu ni kwa week laki mbili
Halafu ipo digital hyo laki mbili hupewi mkononi unampa dereva account number yako ya bank anadeposit tu! Pay in slip anatunza kama kumbukumbu na ushahidi wa malipo!Kweli buana,laki mbili mara week 40 na kitu inakupa 8M na ushee
Kumbe iko poa mkuu,a very good busnessHesabu ni kwa week laki mbili