Toyota Premio New Nodel inagonga sana, naomba Msaada Tafadhali

Naa191

Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
66
Reaction score
57
Habari za jioni wakuu
Nina Toyota premio ya mwaka 2008, hii gari imeanza kugonga chini yaan unavyoendesha hasa kwenye rough road unahisi kama usukani umeachia kwani unaskia manyanga ya kutosha chini.

Nimejaribu kubadili engine mounting as zilikuwa zimekata kabisa lakini tatizo likapungua na baadae nikabadilisha shock up moja ya mbele kulia but naona bado kuna kelele hasa juu ya top ya shock up ya kulia.

Bushi nyingine hazijachoka na fundi alipocheck hizo sijui wishborn bush akasema bado nzima ila bado gari inagonga asee naombeni mwenye ushauri wowote amishauri.

Asanteni wakuu na niwatakie wekeend njema.
 
Ushauri pekee hapo ni kubadili fundi.
 
Ulipata suluhisho la tatizo lako
 
Back
Top Bottom