Toyota premio Vs Toyota Allion c.c 1790 kwa zote

Eli24

Senior Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
165
Reaction score
364
Hv kati ya gar hzi mbili. Ipi n gari imara na nzuri kutumia...
 
Hakuna tofauti hapo zaidi ya bodi na muonekano
 
Hizo gari ni almost sawa. Sema Allion imekaa ki-sport (ujana) na premio imekaa ki-utu uzima.
 


Nauza nina dharura ya hela ndani ya week hii just 8.5M iko in good conditions

Call me 0625962883
 
Kununua kigari cha cc 1790 ni bora ununue za 1990 kama GX, Subaru nk nk nk.... ukishindwa hizo nenda kanunua kivits, kipasso au ki IST
 
Ukiagiza kupitia Beforward kwenye BF Supported I.D weka 500291 utapata punguzo kwenye gharama za kununua gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…